MOVIE NA VICHEKESHO

Ronaldo Hutoza Billioni 4 kwa Post

Mchezaji wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro huchukua kiasi cha Billioni 4,902,276,000 kwa pesa za kitanzania kwa ajili ya kuchapisha iwe ni tangazo au chochote kupitia mitandao yake ya kijamii.

Kwa mujibu wa utafiti uliofanya wa BonusFinder, mchezaji wa pili ambaye anaingiza pesa nyingi kwa chapisho (Post) moja kwenye mitandao yake ya kijamii ni Lionel Messi ambaye huingiza kitita cha Bilioni 2,451,138,000 kwa pesa za kitanzania.

Ila Digital ya AbsalomFamily na SanyaBoy kwa kutambua mchango wa wafanyabiashara na wajasiriamali kwenye msimu huu wa Sabasaba (Msimu wa maokoto) tunakukaribisha kutangaza nasi kupitia mitandao yetu ya kijamii kwa gharama ya Elfu hamsini tu na utangaze sehemu mbili buree, wasiliana na kitengo cha masoko kupitia 0747887504

#absalomfamily