MOVIE NA VICHEKESHO

YOUNG,FAMOUS & AFRICAN

Hii ni Reality Tv Series ambayo itaachiwa rasmi March 18 ikijumuisha mastaa mbalimbali kutoka Afrika, wakiwa wanakula bata, wakipiga stories na mambo mengi mengi ambayo yanahusu maisha yao na career zao kwa ujumla.

Hope mmemuona Simba @diamondPlatnumz✊ nae yumo ndani ya mjengo!

GUSA HAPA KUANGALIA ADVATIZE

@absalomfamily2022