Viungo 35 Vyenye Thamani Kubwa Duniani – Bei ya Moyo ni Bilion 3.2
Tumekuwa tukisikia Fununu na Jokes kuhusu watu kuuza na kununua Figo au Ini kwa Pesa Ndefu. Ndipo ikanibid Nitumie Muda wangu kutafuta Data zinazoonesha Makadirio ya Thamani halisi ya Baadhi ya Viungo Vya Binadamu. Lengo kuu ikiwa ni Kuwafahamisha wele wasiojua Thamani ya Mwili walionao na Kushindwa Kuutunza ipasavyo kwani kuna Watu wanateseka na Kujuta, Zaidi kutoa Chachu kwa Watu Kujitoa Kuchangia Damu Salama inapohitajika, Kuwachangia Wale wanaokuwa Kwenye Uhitaji wa Pesa ya Matibabu kwani kuna Watu wakishaona Gharama zinazohitajika wanahisi huyo Mtu anatafuta Pesa ili akafanye Mambo yake kumbe anapigania Uhai Wake. Lakini pia Kupitia hili Tujifunze na Tupate Chachu ya Kupinga Ukatiri na Unjangiri unaofanywa na Watu kwa Binadamu Wenzao kwa Maslahi yao Binafsi.
(Thamani zimekadiriwa haswa kutoka Kwenye Gharama za Matibabu ya Kiungo Husika.)
“Huwezi kuwa na Uchungu wa Kitu kama Ujui Thamani yake”.
Je! wajua maisha yako yanathamani gani ¿¿¿… Jiheshimu, Jipende, Jitunze, Jilinde.
Vyanzo nilivyotumia :- DataDrivenInvestor2021, Washingtonpost2015, Seeker2014, Ranker2021, ScienceAlert, Snopes, BloodYellowHouse, Pinterest Posts, YouTube Videos.
www.absalomfamily.com – Home of Originals.
“Huwezi kuwa na Uchungu wa Kitu kama Ujui Thamani yake”.
Haya ndiyo Makadirio ya Thamani :
1. Masikio (Kila Moja) – $10 = Elfu 23,190.
2. Appendix – $25 = Elfu 57,975.
3. Pua (Nose) – $75 = Laki 173,925.
4. Meno – $75 = Laki 173,925.
5. Ubongo – $150 = Laki 347,850.
6. Mkono na Kiganja – $385 = Laki 892,815.
7. Tumbo – $500 = Milion 1,159,500.
8. Mabega – $500 = Milion 1,159,500.
9. Spleen – $508 = Milion 1,178,052.
10. Sperm (1LHai) – $600 = Milion 1,391,400.
11. Scalp – $607 = Milion 1,407,633.
12. Fuvu na Meno – $1,200 = Milion 2,782,800.
13. Kibofu – $1,219 = Milion 2,826,861.
14. Nywere 10kg – $1,450 = 3,362,550.
15. Mtoto wa Jicho- $1,500= Milion 3,478,500.
16. Coronary Artery-$1,525 = Milion 3,536,475.
17. Utumbo Mdogo-$2,519=Milion 5,841,561.
18. Damu 20L – $3,370 = Milion 7,815,030.
19. Testicles(kila1)-$5,000=Milion 11,595,000.
20. Mifupa – $5,000 = Milion 11,595,000.
21. Skeleton Zima-$7,500=Milion17,392,500.
22. Ovary – $8,000 = Milion 18,552,000.
23. Jicho zima – $19,200=Milion 44,524,800.
24. Bone Marrow-$23,700=Milion 54,960,300.
25. Ngozi – $30,000 = Milion 69,570,000.
26. Uume(Penis)-$75,000=Milion 173,925,000.
27. Tumbo laUzazi-$100,000=Mil 231,900,000.
28. Kongosho-$110,000=Mil 255,090,000.
29. Ini (Liver)-$157,000=Mil 364,083,000.
30. Figo(Kidney)-$200,000=Mil 463,800,000.
31. Mapafu(Lungs)-$272,000=Mil 630,768,000.
32. Utumbo Mpana-$800,000=Bilion 1,855,200,000.
33. Moyo (Heart) – $1,400,000=Bilion 3,246,600,000.
34. Mwili Mzima – $45,000,000 = Bilion 104,355,000,000.
35. Je! wajua maisha yako yanathamani gani ¿¿¿… Jiheshimu, Jipende, Jitunze, Jilinde.
Vyanzo nilivyotumia Kuandaa Orodha na Takwimu hii ni :- DataDrivenInvestor2021, Washingtonpost2015, Seeker2014, Ranker2021, ScienceAlert, Snopes, BloodYellowHouse, Pinterest Posts, YouTube Videos.
www.absalomfamily.com – Home of Originals.