Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

trimology review

Nitric Boost

tipobet

celtabet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

grandpashabet giriş

pokerklas giriş

jojobet güncel giriş

pokerklas

betpark giriş

taksimbet

deneme bonusu

grandpashabet

casibom güncel giriş

onwin

marsbahis

jojobet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

imajbet

mislibet giriş

imajbet giriş

artemisbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

marsbahis giriş

holiganbet

jojobet

kingroyal

trust score weak 3

kingroyal

kavbet

imajbet giriş

casibom

sekabet giriş

netbahis

mobilbahis

casibom giriş

Hacking forum

trend hack methods

holiganbet giriş

fixbet

hackhaber

casibom güncel giriş

jojobet giriş

onwin

cratosroyalbet

kumar siteleri

jojobet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

güvenilir bahis siteleri

interbahis

grandpashabet

millibahis

piabet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

jojobet giriş

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

pokerklas

pokerklas

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

Hacklink panel

meritking

holiganbet

holiganbet

holiganbet

jojobet

tipobet

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

kavbet

pokerklas

robinbet

maritbet

betpark

betpark

betpark

betpark giriş

betpark giriş

sapanca escort

runtobet

runtobet giriş

marsbahis güncel giriş

1xbet

kralbet

MOVIE NA VICHEKESHO

FULL STORY|HEKIMA NA BUSARA ZA BWANA JOHN

John alimtumia Ujumbe mfupi mke wake; “” Samahani mke wangu sitaweza kuja kukuchukua ofisini, nipo Hospitalini hapa Mama amelezwa kapungukiwa na damu ndiyo nahangaika watu wa kumuongezea “”.

Mkewe akajibu; “” Kwahiyo Mama yako ndiyo umemuona wa muhimu sana kuliko mimi, yaani mimi nipande Bajaji kisa Mama yako anaumwa. Si umuache uje unichukue, unakaa huko kwani wewe ni Daktari!.
Yaani gari langu mwenyewe kisha unisumbue sababu ya Mama yako! Umesikia gari la wagonjwa hilo, ungetaka kumhudumia Mama yako si ungenunua la kwako! “”.
Alituma meseji lakini hata kabla ya kujibiwa alipiga simu na kuzidi kumtukana John.

John alimuuliza’; Kwahiyo ni muache Mama hapa nije kukuchukua?

. Mkewe alimjibu kwa gadhabu, “” Ndiyo kwani ukimuacha atakufa! Si ushasema yuko hospitalini! Si kuna madaktari huko!.
Nitaendaje kwenye sherehe peke yangu kama vile sina mume! “”.

John alikata simu na baada ya kama nusu saa hivi alikua nyumbani tayari kumchukua mkewe, kwahasira mke alipanda kwenye gari, walienda mpaka kwenye sherehe.

Sherehe ilianza, huku mke akinywa kwa hasira hakutaka hata kuongea na mumewe. John alikaa kimya akiwa na mawazo mengi kila mara aliitazama simu yake. Katika kipindi chote hicho mkewe hakumuuliza hata hali ya Mama.

Sherehe iliisha wote wakaingia kwenye gari kurudi nyumbani. Walilala mpaka asubuhi mkewe akiwa hajamuulizia chochote. Asubuhi walijiandaa kwaajaili ya kwenda kazini, wakati wanatoka John alimuuliza mke waHulu jicho likiwa limemtoka.

“” Mama yangu! nani kakuambia Mama yangu anaumwa, mimi mbona niliongea jana nayeye alikua mzima kabisa! “”. Huku akitabasamu John alimjibu.

“” Jamani jana si nilikuambia Mama anaumwa na hali yake ni mbaya kalazwa hospitalini? “”.
Mkewe huku akiamaki “” Uliniambia lakini hukuniambia kama ni Mama yangu! “”.

John kwa tabasabu muluwa “” Jamani mke wangu sisi si ni mwili mmoja, sasa niliposema Mama nilikua na haja gani ya kusema ni Mama yangu au wako, kwamaana ninavyojua mimi Mama yangu ni Mama yako na Mama yako ni Mama Yangu.

Mkewe huku akilia. “” Sasa ndiyo ukamuacha Mama hospitalini, kwani kapatwa na nini? Yaani unaniacha na sherehekea kumbe Mama yangu anaumwa! “”.

“” Mke wang Mama alipata ajali ya gari jana, akapoteza damu nyingi, sasa hospitalini kulikua hakuna damu ndiyo nikawa natafuta watu wa kumuongezea, sema uliposema niache kuhangaika naye ndiyo nikaacha sasa sijui hali yake inaendeleaje maana alizidiwa sana “”.

Huku akilia mkewe aliingia kwenye gari kwa kasi akimtaka mumewe aendeshe gari kwa haraka, John aliendesha gari taratibu akipitia ofisini kwao kusaini, mkewe alilalamika lakini alimuambia kuwa hawezi acha kusaini kwenda kumuangalia Mama.

Kwa namna alivyokuwa amechanganyikiwa mkewe alishindwa hata kuendesha gari hivyo ilibidi amsubiri mumewe waondoke wote. Njia nzima mkewe alikua akilia tu, John akitabasamu tu huku akisikiliza mziki laini.

Mkewe alijua Mama yake alishakufa kwa kukosa damu kwani kwa hali aliyoelezewa alijua kuwa hawezi pona. Alifika na kuwakuta ndugu zake wako nje, aliwasalimia na kuwauliza hali ya Mama walimuambia aingie kumuona.

Alizidi kuchanganyikiwa akijua Mama yake kashafariki. Alifika na kumkuta Mama yake mzima, alimsalimia na kumuomba msamaha kwa kuchelewa kuja kumuona akisema alikua hajui, Mama yake alimuuliza kwa mshangao.

“” Ulikua hujui wakati Mumeo jana alikuwa hapa, Baba wa watu kahangaika sana mpaka kupata watu wa kuniongezea damu, kasumbuka sana jana, mwanangu hapa umepata mume. Asingekua mumeo ningeshakufa kwani madakitari walisema ningekosa damu ningekufa “”…

Mke wa John alishindwa cha kujibu, hakujua kuwa kumbe John hakuacha kutafuta damu alihakikisha Mama yake yuko salama ndiyo akaondoka.

“” Sikumuambia Mama, Jana alikua anajisikia vibaya, nadhani presha ilikua inamsumbua nikasema nisimuambie kwani angeweza kuchanganyikiwa. Asubuhi ndiyo nikamuambia baada ya kuona yuko vizuri “”.

Naendela vizuri mwanangu, ahsante sana kwa kuhangaika na mimi jana, nilikua hoi sana. Mama yake aliongea huku akitabasmau. Mkewe alinyanyuka, huku akitoa machozi alimkumbatia mumewe na kumuambia nisamehe mume wangu sasa ndiyo nimejua maana ya ndoa ni nini?

John alimkumbatia nayeye kwa nguvu na kumuambia. Usijali mke wangu nakupenda sana nilitaka tu ujifunze kuwa mali sio kila kitu, najua umenizidi kipato lakini pesa zinatafutwa na kamwe hela haiwezi kuzidi thamani ya utu.

www.absalomfamily.com

©Absalomfamily2022