ABSALOM FAMILY HABARI

TUMEPOKEA MALALAMIKO KUWA WATU KWENYE HII APPLICATION MPYA HAWAONI MOVIE WALIZOKUWA WANAFATILIA SASA IPO HIVI :-

•KAMA HUONI MOVIE ULIYOKUWA UKIFATILIA I SEARCH JINA LA MOVIE AU DJ HAPO JUU YA APP ILA USIKOSEE HERUFI

•KAMA HUONI MOVIE ULIYOKUWA UKIIFATILIA TUMIA WEBSITE YETU UTAZIONA ZOTE WWW.ABSALOMFAMILY.COM

ASANTEN KWA SUPPORT YENU TUNAOMBA MTUSAIDIE KU SHARE HII APPLICATION YETU MPYA https://play.google.com/store/apps/details?id=com.webline.absalomfamily2
ILI TUPATE WATU WENGI TUTUME SEASON NA SINGLE MOVIE KWA WINGI…..

BY C.E.O ABSALOMFAMILY

Leave a Reply

Your email address will not be published.