MOVIE NA VICHEKESHO

DoneDEAL: Christian Eriksen asaini Man United

Club ya Man United imemtangaza kumsajili Kiungo aa Kimataifa wa Denmark Christian Eriksen (30)kwa mkataba wa miaka mitatu, msimuuliopita Eriksen alicheza Brentford.

Christian Eriksen anakuwa mchezaji wa pili kuwasili Man United chini ya Kocha mpya Erik ten Hagen, Eriskesan atakuwa Man United hadi 2025 na amejiunga nao kama mchezaji huru baada ya mkataba wake wa Brentford kutamatika.

Pamoja na kutambulishwa Leo lakini Eriksen hatojiunga na kambi ya Man United nchini Austrilia ambayo imesalia wiki moja na badala yake atasalia Carrington kwa ajili ya kufanya mazoezi binafsi ya utimamu wa mwili.