EID MUBARAK
Uongozi Na Wafanyakazi Wa AbsalomFamily Tunapenda Kuwatakia Kheri Ya Sikukuu Ya Eid Waislamu Wote Duniani Kote.Tuwapongeze Kwa Kumalizana Salama Mfungo Wa Mwezi Mtukufu Wa Ramadhani Na Tumuombe Mwenyezi Apokee Funga Zetu.?
#EidMubarak
##AbsalomFamily