HABARI Watumiaji wa mtandao wa WhatsApp wanashindwa kuwasiliana kutokana na mtandao huo kuwa chini

Bado hakuna taarifa kutoka kwa uongozi wa mtandao huo lakini watumiaji wamekuwa wakikumbana na shida ya kutuma ujumbe