HABARI Huduma za mtandao maarufu wa @whatsapp zimerejea kama kawaida baada ya kutopatikana kwa masaa mawili ambapo watumiaji wa mtandao huo walishindwa kuwasiliana
HABARI Huduma za mtandao maarufu wa @whatsapp zimerejea kama kawaida baada ya kutopatikana kwa masaa mawili ambapo watumiaji wa mtandao huo walishindwa kuwasiliana
Hakuna taarifa rasmi iliyotolewa na uongozi wa mtandao huo licha ya malalamiko ya watumiaji wake katika mitandao ya kijamii
Huduma hiyo ilipotea majira ya saa nne asubuhi Oktoba 25/2022 na kurejea baada ya masaa mawili